1. Shirikisho the Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawajulisha wadau wa Soka kwamba uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa Kagera ulifanyika tarehe 17 Machi 2012, Bukoba mjini kama ulivyokuwa umepangwa. Uchaguzi asuntoilmoitukset huo ulifanyika kwa mujibu wa Katiba ya KRFA na Kanuni za Uchaguzi za wanachama wa TFF.
(I) Mwenyekiti: asuntoilmoitukset Ndg. Jamal E. Malinzi
(Ii) Makamu Mwenyekiti: Ndg. Alex Raphael Gashaza
(Iii) Katibu Mkuu: Ndg. Shallum H. Umande
(Iv) Mweka Hazina: Ndg. Adolf Martin Mahuguli
(V) Mjumbe wa Mkutano Mkuu TFF: Ndg. Peregrinius A. Rutayuga
(Vi) Mjumbe-Mwakilishi wa Vilabu: Ndg. Didas David Zimbihile
(Vii) Wajumbe-Kamati ya Utendaji: - Ndg. Abubakari Kazinja
3. TFF inawashukuru wadau wa Soka Mkoani Kagera, hususan, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa KRFA na Kamati ya Uchaguzi ya KRFA kwa kuheshimu na kuzingatia Katiba ya KRFA, Kanuni za Uchaguzi za wanachama wa TFF na kwa ushirikiano mkubwa walioutoa kwa Kamati ya Uchaguzi ya TFF, hivyo kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi wa KRFA kama ulivyopangwa. We matumaini ya TFF kuwa wadau wa Soka Mkoani Kagera wataendelea asuntoilmoitukset kushirikiana na TFF kuendeleza asuntoilmoitukset Soka katika Mkoa wa Kagera.
Mwajuma Mkonya
Kwa MATANGAZO, WASILIANA Nasi Kwa NAMBA +255 788 228111 or Barúa pepe bongostaz@yahoo.com, princezub@gmail.com na princezub@hotmail.com Ofisi zetu rack, Mtaa wa Twiga / Jangwani, mkabala na msikiti wa Omar Bin Khatab. Mnakaribishwa!
Pos Team PWDL GF GA GD Pts 1 Chelsea 7 6 1 0 15 4 11 19 2 Man Utd 7 5 0 2 17 9 8 15 3 Man City 7 4 3 0 15 8 7 15 4 Everton 7 4 2 1 14 8 6 14 5 Tottenham 7 4 2 1 13 8 5 14 6 West Brom 7 4 2 1 11 7 4 14 7 Arsenal 7 3 3 1 13 5 8 12 8 West Ham 7 3 2 2 8 8 0 11 9 Fulham 7 3 1 3 15 11 4 10 10 Newcastle 7 2 3 2 8 11 -3 9 11 Swansea 7 2 2 3 12 11 1 8 12 Stoke 7 1 5 1 6 5 1 8 13 Sunderland 6 1 4 1 5 7 -2 7 14 Liverpool 7 1 3 3 9 12 -3 6 15 Wigan 7 1 2 4 7 13 -6 5 16 Aston Villa 7 1 2 4 6 12 -6 5 17 Southampton 7 1 1 5 12 20 -8 4 18 Reading 6 0 3 3 8 13 -5 3 19 Norwich 7 0 3 4 5 17 -12 3 20 QPR 7 0 2 5 6 16 -10 2
Pos Team PWDL GF GA GD Pts 1 Barcelona 7 6 1 0 19 7 12 19 2 Atlético Madrid 7 6 1 0 18 8 10 19 3 Malaga 7 4 2 1 11 4 7 14 4 Real Betis 7 4 0 3 12 13 -1 12 5 Real Madrid 7 3 2 2 14 7 7 11 6 Majorca 7 3 2 2 8 6 2 11 7 Sevilla 7 3 2 2 8 7 1 11 8 Valladolid 7 3 1 3 11 7 4 10 9 Getafe 7 3 1 3 8 10 - 2 10 10 Rayo Vallecano 7 3 1 3 9 14 -5 10 11 Raising 7 3 1 3 8 13 -5 10 12 Celta Vigo 7 3 0 4 9 8 1 9 13 Real Sociedad 7 3 0 4 8 11 -3 9 14 Valencia 7 2 2 3 8 9 -1 8 15 Granada 7 2 2 3 6 10 -4 8 16 Athletic Bilbao 7 2 2 3 9 14 -5 8 17 Real Zaragoza 7 2 0 5 5 9 -4 6 18 Deportivo La Coruna 7 1 3 3 9 14 -5 6 19 Osasuna 7 1 1 5 7 11 -4 4 20 Espanyol 7 0 2 5 8 13 -5 2
Pos Team PWDL GF GA GD Pts 1 Marseille 8 6 1 1 12 7 5 19 2 PSG 8 4 4 0 14 5 9 16 3
No comments:
Post a Comment